DukaPro Business Software ni mfumo rahisi sana kutumia. Kama unaweza kutumia simu janja, hushindwi kutumia mfumo huu.
Timu yetu ya msaada kwa wateja ipo kuhakikisha kila mteja anasaidika apatato changamoto katika mfumo wake.
Je unahitaji kitu ambacho DukaPro Business Software haina kwa sasa? Usijali, tunaweza kukiongeza.
Tunasambaza kompyuta za kawaida, zenye kioo mpapaso, skana za barcode, mashine za kuprint risiti na barcodes
RAMS ni mfumo wa mashule na vyuo. Wamiliki, wazazi, wanafunzi, wahasibu na walimu wanaweza kuingia kuona taarifa zinazowahusu.
Tunafunga mifumo ya CCTV kwenye biashara na makazi kumuwezesha mmiliki kufatilia maeneo yake popote alipo kwa simu.
KARIBU TUKUHUDUMIE!
Muda wa kazi:+255 743 666 333 |+255 750 012 930
Kilimani St. Mbezi Beach Goigi, DSM - Tanzania